Jeremiah 18:7-8

7 aIkiwa wakati wowote nikitangaza kuwa taifa au ufalme utang’olewa, utaangushwa na kuangamizwa, 8 bikiwa lile taifa nililolionya litatubia uovu wake, ndipo nitakapokuwa na huruma, wala sitawapiga kwa maafa niliyokuwa nimewakusudia.
Copyright information for SwhKC